Nitasimama na Rais Samia hata ikibidi kufa kwa ajili ya kumlinda na kumtetea. Sitakubali Mtu amhujumu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hicho ni kiapo chetu watanzania,Ni Kiapo Cha Ulinzi kwa Rais wetu ,ni kiapo cha Utetezi kwa Rais wetu, ni kiapo cha Utii kwa Rais wetu ,Ni kiapo cha kutomsaliti Jemedari wetu ,ni kiapo cha kukubali Kupoteza Maisha kwa Ajili ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Watanzania hatupo tayari na hatutakuwa Tayari kuona mtu yeyote yule awaye kutoka sehemu yoyote ile Duniani akimhujumu Rais wetu. Hatutaki kuona mtu yeyote yule akijaribu kumkwamisha Rais wetu katika juhudi zake za kuliletea maendeleo Taifa letu.

Adui wa RAIS Samia ni Adui wa Taifa hili na tutamkabili kwa ukali wa Simba Mwenye Njaa . Watanzania tupo pamoja na Rais wetu na tunaapa na kujiapiza kusimama na Rais wetu.tupo tayari kwa lolote kwa ajili ya kumlinda ,kumtetea na kumpigania RAIS wetu .

Rais wetu ndiye Taswira ya Taifa letu ,ndio nembo yetu na ndiye Mboni ya Taifa letu. Ukimgusa ni sawa na kuligusa Taifa zima na lazima tujibu kwa mapigo Makuu na matakatifu Mbele za Mwenyezi Mungu. Tunahitaji kuona Rais wetu akiheshimiwa na akikosolewa kwa heshima ,adabu na staha.

Watanzania tungependa kuona demokrasia yetu ikitumika kutoa mawazo chanya yenye kujenga na kuleta matokeo Chanya . Tunapenda kuona uhuru wa kutoa maoni ukitumika kuleta mawazo mapya yenye kuleta na kuchagiza maendeleo. Tunapenda kuona tukishindana kwa hoja zenye kujenga na siyo kubomoa ama kugawa Taifa ama kupandikiza chuki kwa Taifa.

Tunataka kuona kauli zenye kujenga mshikamano na umoja wa kitaifa na siyo zenye kuchochea machafuko na uasi kwa Taifa. Tunapenda kila mmoja wetu atambue kuwa hakuna uhuru usio na mipaka.

Na kwamba uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwingine unapoanzia. Hivyo ni lazma uheshimu uhuru wa wengine na haki za wengine na siyo kuvunja haki za wengine kwa kigezo kuwa unatumia uhuru wako.

Ni lazima tujenge Taifa ambalo watu wake wakiingia mitandao washindane kwa hoja zenye kujenga na kuleta mawazo mapya kwa ustawi wa Taifa letu. Tunataka mitandaoni kutawale mijadala ya kimaendeleo na fikra mpya na siyo kuona mitandaoni kukitawala maneno ya uongo ,uzushi , uchonganishi, uchochezi, kuchafua na kuwadhalilisha viongozi wetu. Hatutaki kuona mambo kama hayo mitandaoni. Hayo hayavumiliki na wala hayapaswi kuchukuliwa kama ndio utamaduni mpya wa kuulea hapa Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3586832
Screenshot_20260508-212916~2.png
 
Nilikuuliza swali jana, wewe ni mwanamke ama mwananume. Kama wewe ni mwanaume una........
 
Kila kitu cha kwenu

Na bado mnaogopa kuhujumiwa

Watu wa ajabu sana
 
Zombie pro max!
 
Wewe ukitaka kufa kufa nae tu mimi usinijumuishe
 
Back
Top Bottom