Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe.
Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.
Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga??
Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.
Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga, niliamua kupandikiza ujauzito ili siku zijazo niweze kujifariji pale tutakapoachana.
Kwa sasa, ujauzito...
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa
Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
Mwanaume aliyechanganyikiwa akili (mwehu), amevamia kanisani wakati misa ikiendelea na kumpiga padri kisha kupora biblia.
Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ambapo taarifa zinaeleza kuwa limetokea Kisumu nchini Kenya katika kanisa moja la Kikatoliki.
Edward Motaroki Nyaanga
Edward Motaroki Nyaanga amefikishwa Mahakamani kwa makosa ya kujifanya ni askari, pili kumjeruhi kwa kumpiga askari halisi Nchini Kenya na kumsababishia majeraha kichwani na mikononi.
-
Amesomewa shitaka la kumpiga Konstebo Dominic Obura tukio lililotokea Juni 16, 2022...
Huu ni udhalilishaji
Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee.
Ilibidi binti wa watu...
Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa.
Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
Mmeamkaje?
Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha. Sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli, kiasi kwamba tukajua tukiamka atakuwa ameondoka lakini cha ajabu tunamwona anaenda sokoni huku USO wake...
Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa hakubali ujinga wa kutawaliwa na mwanamke. Sasa hali hii imemponza mwanasoka chipukizi pale Old Trafford...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.