Kwa muda mrefu Nilikuwa nasikia kwamba Maafisa Uhamiaji wengi ni wababaishaji, Leo nimeshuhudia kwa macho.
Nilijaza fomu la maombi ya passport online Nikalipia kisha nika download na kuwasilisha Ofisi za uhamiaji mkoa.
Afisa Aliyenipokea akaniuliza wewe ni kabila gani? Nikamuambia Maasai...
Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.
Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.
Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
Kesi ya Jinai Namba 59, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake (07), jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi baada ya Mashahidi upande wa Mashtaka...
MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi)
Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao.
Tabia hii imeigwa katika video...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo kushuka na kushindwa kufunga.
Msimu uliopita Rashford alifunga magoli 30 lakini hadi sasa amefunga goli...
Kesi ya Jinai Na 08 ya Mwaka 2023 iliyokuwa inamkabili Askari wa Jeshi la Polisi H.4178 Abati Benedectio wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu kutuhumiwa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 (jina linahifadhiwa) imerejeshwa tena.
Askari hiyo Februari 17, 2023...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao.
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana aitwaye HUMPHREY FRANCIS KIHALI [25] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi aitwaye FRANCIS JOHN KIHALI [50] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya.
Awali Septemba 10, 2023 majira ya saa 10:45 jioni huko eneo la Ilemi...
Nilishawaambia sihitaji salamu, ukitaka salamu rudi huko kijijini kwenu!
Waswahili na Ujinga ni kama Mapacha vile!
Huwa nashangaa sana mwanaume mwenye akili timamu anapomfumania mkewe yeye huanza kupambana na mwanaume mwenzie badala ya kupambana na mkewe!
Aliyekwambia kumpiga na kumdhalilisha...
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023.
Gabriela ambaye kwa sasa hana uhusiano na Antony (23) anadai aliumizwa kifuani na hivyo kulazimika...
Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.
Ikidaiwa mmoja wa Askari...
Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada.
Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO.
---
Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane.
Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi...
Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu?
Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.
Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.