Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la ulaya,afrika,Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. [emoji41]
Kwanini tumpige kwa faida ya nani? Ili iwe je badaye.
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la ulaya,afrika,Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎

Na ACT wazalendo atakuwamo kwenye hiyo vita?

IMG_20250416_173934.jpg


Taabu ni hapo tu.
 
Marekani hatuwezi kupambana nae kama Africa, Ametusaidia mno. Akomae na njemba wenzie kina russia na wachina.
 
Unamaanisha vita ya dunia? madhara yake ni makubwa sana kwenye uchumi hivyo sio kitu hata cha kuwazia.
Hata hivyo, Nchi pekee inayo onekana kuwa tishio kwa Marekani ni kwa sababu ukuaji wake wa uchumi na technologia umekuwa wa kasi sana hivyo Marekani inawasiwasi ya kitakachotokea miaka ijayo...kama wachina hawatapunguzwa kasi....na ujue Urusi ni Mshirika wa uchina
Wachina tayari wana zalisha Internet yao (huwezi kuwadukua kwa urahisi), tayari wana software operating system yao, ndege za kisasa na hatari sana za kivita kama Chengdu J-20; Stealth Air J-36. Wanakitengo kikubwa kabisa duniani cha Innovations ambapo wasomi wakubwa wa sayansi wanafadhiliwa na serikali ili wagundue technologia mpya nk nk
 
Unamaanisha vita ya dunia? madhara yake ni makubwa sana kwenye uchumi hivyo sio kitu hata cha kuwazia.
Hata hivyo, Nchi pekee inayo onekana kuwa tishio kwa Marekani ni China pekee kwa sababu ukuaji wake wa uchumi na technologia ni wakasi sana hivyo Marekani inawasiwasi ya kitakachotokea miaka ijayo...kama wachina hawatapunguzwa kasi....
Wachina tayari wana zalisha Internet yao (huwezi kuwadukua kwa urahisi), tayari wana software operating system yao, ndege za kisasa na hatari sana za kivita kama Chengdu J-20; Stealth Air J-36. Wanakitengo kikubwa kabisa duniani cha Innovations ambapo wasomi wakubwa wa sayansi wanafadhiliwa na serikali ili wagundue technologia mpya nk nk
Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
 
Back
Top Bottom