Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
unaijua Stealth Air J-36 na Chengdu J-20?
China inategemea Urusi kama mshirika wake , kama vile Marekani inavyotegemea Muingereza kama mshirika wake
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
kwani marekani ana miguu??
 
sema nchi masikini duniani

Pili,Allience zivunjwe kwanza US na west Europe

marekani ,ilitengenezwa kimbinu sana ,hakuna wakuungana aipige US ,mnaenda kumpiga anayetengeneza pesa mwenyewe
 
Ndiyo, nchi zote zikiungana zinaweza kumpiga marekani vizuri tu. Zinaweza kumpiga kijeshi, kiuchumi, kijamii na haya ni majibu ya nadharia tu.

Tukija kwenye majibu yenye uhalisia ni kwamba haiwezekani nchi zote kuungana kumpiga marekani.
 
Africa mashariki waungane wampige Rwanda!! Hakuna cha kuungana Tz peke yake inatosha, vijana wa JKT watatumika.
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Hypothetically speaking, Yes.
 
Ila Nchi zote haziezi ungana Kamwe Sababu Ya Capitalist system Kila Mtuu Hataki Hasara Ila Kama Communism ikarudia Tena Hapo ndipo tunaeza kuwaza Kuhusu Kuungana
 
Marekani hatuwezi kupambana nae kama Africa, Ametusaidia mno. Akomae na njemba wenzie kina russia na wachina.
AMERICANs akusaidieee???? labda vidonge vya ukimwi na chanjo... Americans Ndio wezi wakui hi DUNIA kila Bara Labda AFRIKA tu Ndo halijui Hilo Ila Americans sio wakuhaminika Akikusaidia Unampa Kitu tena sio unachotaka kumpa ANACHOTAKA kuchukua Ndo UNAMPA.... HATUEZI GOMBANANAE sababu Akidai Deni lake, Tutapoteana Apa
 
Hypothetically speaking, Yes.
FB_IMG_1742123999347.jpg
 
Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
Mkuu China Anategemea Wapi?? Bro fwatilia Tena Vizuri China Ndio mwenye Tech sio Russia... tech ya nini Russia Anayo????
CHINI anajeshi Kubwa Kuliko Rusia China anaowatu wengi kuliko Russia.... Elimu Ya AI china inatolewa kwanzia Watoto Mkuu Russia Anamuogopa kama sio kumuheshimu Xi Na usidanywe Rais wa china hana mbwembwe Vitendo Tuuuu
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
usichukulie juu juu angalia Stock Markets vinavyokwenda nani anapata Hasara kama Sio Americans don't underestimate Taifa la China Hakuna Jeshi Kubwa na lenye vifaa vya Tech kama China Hakuna... Hii Trade War inayotokea baina Ya China na Marekani Taarifa zisifiche ukweli unaonekana kwenye Stocks Tesla haingizi magari yake Tena China na angali alikua analo soko zuri china sasa apo nani anapata Hasara
 
I got you
 
Back
Top Bottom