Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
Katika haya mataifa matatu makubwa U.S.A,China,Russia hakuna anaye tegemea teknolojia ya mwengine katika kujilinda.
 
Mkuu China Anategemea Wapi?? Bro fwatilia Tena Vizuri China Ndio mwenye Tech sio Russia... tech ya nini Russia Anayo????
CHINI anajeshi Kubwa Kuliko Rusia China anaowatu wengi kuliko Russia.... Elimu Ya AI china inatolewa kwanzia Watoto Mkuu Russia Anamuogopa kama sio kumuheshimu Xi Na usidanywe Rais wa china hana mbwembwe Vitendo Tuuuu

 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Tatizo Marekani ndie nchi zote. Marekani imetengenezwa na raia wa nchi zote na wengi wao ni wale matajiri, wasomi, wexi matapeli, wachungaji nknk kila kitu kinahamia pale
 
Tatizo Marekani ndie nchi zote. Marekani imetengenezwa na raia wa nchi zote na wengi wao ni wale matajiri, wasomi, wexi matapeli, wachungaji nknk kila kitu kinahamia pale
Upo sahihi sana. Hichi unachokisema hapa ni moja ya sababu kwanini league of Nation ilipoundwa mwaka 1919,marekani haikujiunga..
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.

NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Amefanyiwa nini mchina,
Nyie mmeshindwa kuungana kumtoa ccm madarakani ndio zitaweza nchi kuungana?
 
Back
Top Bottom