Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Tatizo nikwamba nivigumu wote kuwa na wazo mojaKwanini mdau? Wakati inasemekana kila jambo linawezekana mkiamua kwa pamoja?🤔
Tatizo nikwamba nivigumu wote kuwa na wazo mojaKwanini mdau? Wakati inasemekana kila jambo linawezekana mkiamua kwa pamoja?🤔
Nyie endeleeni kujidanganya, huyo kagame uraisi kaupata kwa msaada wa majiraniKikundi kidogo tu cha M23 (ni cha Kagame) kila wakati kinadedisha JWTZ.
JK akiwa rais 2014 aliipigwa mkwara na Kagame hadharani kuwa nitakushughullikia. J K akaufyata.
Na ndiyo maana hata vita ya huko Congo DRC Kagame anaiendesha lkn viongozi wa nchi jirani wote wanaogopa kumsema waziwazi. Wapatanishi wanaishia kujitoa tu.Nyie endeleeni kujidanganya, huyo kagame uraisi kaupata kwa msaada wa majirani
Sasa assume washirika hana amebaki yeye kam yeye. Solo
Maman approved The sale of s-400 air defense system to china haimaanishi Russia angempa Bure Ama China kachukua Bure.. KUNA MSEMO UNASEMA HIVI "ITS DANGEROUS TO BE AMERICANS ENEMY BUT ITS WORSE TO BE FRIENDS WITH THE AMERICANS" Russia Atafanya Contracts na China haimaanisha China Anamtegemea Kwa russia kulilinda Nchi Yake![]()
Russia Announces Sale of S-400 to China | The Post-Soviet Post | CSIS
In April, Russian President Vladimir Putin reportedly approved in principle the sale of the S-400 air defense system to China. The S-400 (NATO codename SA-21 Growler) is currently Russia’s most advanced air defense platform, and thus far has been reserved exclusively for the Russian military...www.csis.org
China may consider more Su-35 fighters after Russian new offer: report - China Military
China might purchase more Su-35 fighter jets, Chinese media and military analysts said, after Russia reportedly offered an additional batch of the warplanes to China.eng.chinamil.com.cn