Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s.
Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu za kutosha.
Klabu ya Yanga wakaona isiwe kesi wakamtungia wimbo Dubwi mbaya kampiga refa. Ingawa kipindi hicho hawa jamaa walikuwa ni mbavu haswa, unakabana na jitu Adamu Sabu, lazma uwe umeshiba vya kutosha.