kumsaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Waziri Mkuu Majaliwa ameamua kumsaidia Rais Samia kwa vitendo kuliko maneno

    Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari hii yenye mafanikio makubwa na matumaini kwa Watanzania, Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , Makamu...
  2. Komeo Lachuma

    Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia. Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  4. Gama

    Rais wa Chechnia Ramzani Kadyrov kupeleka watoto wake kumsaidia Putin

    Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani umri wao ni miaka 14, 15 na 16. Aidha, Rais huyo amerusha video zinazo onesha wanawe wakirusha...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  6. Mpinzire

    Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  7. M

    Nimeamua kumsaidia mwanamke huyu

    Mwaka huu 2/ 2022 jirani zangu walimpokea jamaa fulani tokea Kaskazini , niliambiwa amefika kwa ajili ya tiba na kuwasaidia mdogo mtu ( askari polisi aliyefutwa kazi na kaka mtu ambaye kwa mtazamo wangu ni mhanga wa madawa ya kulevya) , ninachokumbuka ni kuchinja kuku , kupasua nazi na kufanya...
  8. Analogia Malenga

    70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
  9. mugah di matheo

    Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

    Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad. Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo tu . Jee unaiona Nguvu ya Gerrad na Coutinho kuisaidia Liverpool?
  10. Equation x

    Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  11. Sky Eclat

    ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  12. Miss Zomboko

    Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba wa mtu anayempenda

    Kuwa muwazi na mueleze kile kilichotokea kwa njia rahisi anayoweza kuelewa. Tumia maneno kama 'amefariki', usifunike kwa kumwambia amelala au namna nyingine yoyote. Mtoto akiuliza maswali yajibu kama unaweza na usimdanganye kwa kutunga hadithi ya uongo. Kubaliana na hisia za mtoto. Mtoto...
  13. Miss Zomboko

    Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  14. Idugunde

    Nilitegemea Lissu aje Tanzania kumsaidia Mbowe na kesi ya ugaidi kuliko kutuma salamu za mwaka mpya akiwa Ubelgiji

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani. Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
  15. M

    Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana. Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa kwanza kugundua madudu ya huko, infact hata Kassim Majaliwa kipindi cha Magufuli anrwahi kugundua...
  16. Mr Dudumizi

    Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

    Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo...
  17. mshale21

    Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  18. Miss Zomboko

    Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  19. FUWAVITA - TANZANIA

    Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi:

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  20. David M Mrope

    Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

    Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
Back
Top Bottom