Mwaka huu 2/ 2022 jirani zangu walimpokea jamaa fulani tokea Kaskazini , niliambiwa amefika kwa ajili ya tiba na kuwasaidia mdogo mtu ( askari polisi aliyefutwa kazi na kaka mtu ambaye kwa mtazamo wangu ni mhanga wa madawa ya kulevya) , ninachokumbuka ni kuchinja kuku , kupasua nazi na kufanya...