kumsaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  2. JamiiForums Tanzania Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

    Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x). Ndugu yetu huyu (x) amekuwa na tabia ya kulalamika kuwa Hali ni ngumu, na hivyo tumfanyie mpango wa yeye kupata ajira au kazi yotote itakayo msaidia...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumsaidia mtu kupata kazi lakini malipo yake yakawa kukuumiza?

    Habari ya asubuhi. Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔. Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni tabia zako zipi ambazo mwanao akirithi, zinaweza kumsaidia au kumuathiri kwenye maisha yake?

    Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au kuwaangamiza katika maisha yao hapa duniani.
  6. JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kumsaidia Amiri Jeshi Mkuu wetu

    Mheshimiwa Rais kapokea repoti ya CAG na kutoa hotuba kali iliyojaa uchungu na nchi yake. Mheshimiwa Rais kaitoa hotuba mbele ya serikali yake, Lakini kikubwa mbele ya Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na usalama. Kwa hotuba ile wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na mahakama wamepewa kazi ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa kauli ya Mbowe ni kuwa lengo la CHADEMA ni kumsaidia Mama kuongoza vizuri na sio kushika Dola

    Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ameamua kumsaidia Rais Samia kwa vitendo kuliko maneno

    Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari hii yenye mafanikio makubwa na matumaini kwa Watanzania, Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , Makamu...
  11. JamiiForums Tanzania Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia. Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti...
  12. JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Chechnia Ramzani Kadyrov kupeleka watoto wake kumsaidia Putin

    Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani umri wao ni miaka 14, 15 na 16. Aidha, Rais huyo amerusha video zinazo onesha wanawe wakirusha...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumsaidia mwanamke huyu

    Mwaka huu 2/ 2022 jirani zangu walimpokea jamaa fulani tokea Kaskazini , niliambiwa amefika kwa ajili ya tiba na kuwasaidia mdogo mtu ( askari polisi aliyefutwa kazi na kaka mtu ambaye kwa mtazamo wangu ni mhanga wa madawa ya kulevya) , ninachokumbuka ni kuchinja kuku , kupasua nazi na kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania 70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
  18. JamiiForums Tanzania Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

    Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad. Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo tu . Jee unaiona Nguvu ya Gerrad na Coutinho kuisaidia Liverpool?
  19. JamiiForums Tanzania Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…