Habari za usiku huu,
Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa natafunia upende mmoja wa kulia kwa miaka sasa ila shida iliopo nikilitafunia kitu kwa bahati mbaya...