Katika jamii za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na nadharia kuwa mtu aking'oa mvi moja kichwani inasababisha kuota nyingine nyingi.
Baadhi ya watu wakiwa katika umri ambao si wakuota mvi au wale ambao wanaanza kuota mvi, mvi zikianza kuchipua kichwani wanazing'oa wakiamini hazitaota tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.