Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama Dubai.
Kigwangalla anahoji kiongozi wa umma asiyefanya biashara anatolea wapi utajiri wa namna hiyo...
Wiki iliyopita nilienda kkoo kwa lengo la kununua tv hasa hisense smart 43 inch na nilizunguka maduka mengi ya pale kkoo ila na huwa napenda kuuliza maswali ya kutosha kabla sijanunua bidhaa husika lakini majibu niliyokutana nayo kutoka kwa wauzaji yanashangaza.
Kutokana na maswali niliyokuwa...
kwema wakuu,
Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.
Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona.
Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)?
NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU
Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela.
Vipi...
Wakuu salama?
Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used.
Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi.
Karibuni wakuu
Ndugu WanaJF,
Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja.
Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena.
Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale.
Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV
Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi.
Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS
Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda
https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
Dkt. Medard Beyanga
Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari.
Amesema jambo la kwanza la...