kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  2. SAYVILLE

    Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

    Ndugu wasomaji wa JF, Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu zinazoeleweka ila niseme tu ni uwekezaji unaohitajika kufanyikia mlimani. Swali langu, taratibu za kununua na...
  3. Mkulima wa Maharage

    NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  4. BARD AI

    Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  5. Samedi Amba

    Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  6. S

    Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  7. Kamanda Asiyechoka

    Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  8. KingOligarchy

    Jinsi ya kununua iphone 15 pro max

    Greetings wana Jamii forum, Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick question is Can u afford it. i will make an assumption that it cost 5,000,000 per 1 piece. inawez...
  9. Gidabed

    Kupika au kununua kwa mamantilie

    Wakuu wasalaam. Moja kwa moja kwenye mada. Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani. Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta. Nawasilisha
  10. D

    Baadhi ya hospitali na zahanati huwa zinawanyima majibu ya vipimo wagonjwa wanaoshindwa kununua dawa kwao

    Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao! Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
  11. K

    Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga. Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia. " Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na...
  12. S

    Rais wa Yanga, Eng. Hersi amelipa Tsh. Milioni 40 kununua tiketi za mchezo wa leo

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi. Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
  13. Grand Canyon

    Ni muhimu sana kuhakiki ikiwa gari Iina deni la Polisi kabla ya kununua

    Hiyo itaepusha usumbufu wa kununua gari kisha kukuta Lina madeni mengi. Madeni ya Parking na ya faini za Polisi.
  14. Stephano Mgendanyi

    Afisa Manunuzi anaandika kununua Vitu ambavyo Vipo Stoo

    AFISA MANUNUZI ANAANDIKIA KUNUNUA VITU AMBAVYO VIPO STOO "Hospitali ya Wilaya Rorya imejengwa kwa miaka 10, na inashindwa kukamilika kwa sababu ya utaratibu wa manunuzi waliouweka. Na utaratibu huu wanaoufanya Hospitali maana yake ni nini, mtu wa manunuzi ni yuleyule, engineer ni yuleyule ambae...
  15. Mwachiluwi

    Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Hellow, Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
  16. peno hasegawa

    Waziri adaiwa kumwaga noti kununua Kawe beach, NHC yasema haijauzwa ni mali yake na kampuni ya Dubai

    WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
  17. B

    Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

    Pertamina Seeks Majority Share in Tanzania’s Mnazi Bay Jayany Nada Shofa June 22, 2023 | 3:43 pm Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry) Indonesia is seeking...
  18. A

    IPO haja Kwa taasisi za watanzania kununua hisa kwenye haya makampuni

    Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara. Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
  19. Mamujay

    Nahitaji Nyumba ya kununua iwe mabibo mwisho

    Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
  20. Mamujay

    Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

    Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kariakoo ipo mil 10 hapa
Back
Top Bottom