kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  2. JamiiForums Tanzania Faini zitumike kununua Madawa

    Faini mbalimbali (ikiwemo makosa ya barabaran,) zitumike kununua Madawa hospital za Umma na sio kulipana posho
  3. JamiiForums Tanzania Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
  4. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani? Naomba hekima zenu juu ya hili.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Faw Mende tipper or Howo Mende tipper za kununua. Nahitaji unit 14 ziwe used

    Nahitaji Howo tipper mende or Faw tipper mende used za kununua naitaji pc 14 . Kama unazo naomba uje inbox
  7. JamiiForums Tanzania Sehemu gani naweza kununua pikipiki aina ya yamaha Mwanza?

    Wakuu salama? Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used. Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi. Karibuni wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    ๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——: ๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ด๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฎ๐˜‡๐˜† ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐—บ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐˜๐—ผ ๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ฟ๐˜†'๐˜€ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  10. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, karibu kila Mtanzania kawahi kwenda kwa mganga ama kununua dawa zao ila wengi tunafanya kwa siri

    Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena. Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeenda dukani kununua sindano ya mkono usiku huu wakanikatalia na kunitilia shaka

    Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale. Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  16. JamiiForums Tanzania Jamii yashauriwa kuacha tabia ya kumeza dawa bila kupima, hali hiyo inatengeneza usugu

    Dkt. Medard Beyanga Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari. Amesema jambo la kwanza la...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

    Ndugu wasomaji wa JF, Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu zinazoeleweka ila niseme tu ni uwekezaji unaohitajika kufanyikia mlimani. Swali langu, taratibu za kununua na...
  19. JamiiForums Tanzania NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  20. JamiiForums Tanzania Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ