Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji
Chanzo: ITV Tanzania/ facebook
--------
Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu ya wananchi wa Lugalawa, wilayani Ludewa mkoani hapa, kuhusu upatikanaji wa umeme na mbolea kwa...
Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo.
1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba
2 Kuwasha TV
3 . Redio
4. Kichaji
Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo
A. Ukubwa WA panel
B ukubwa WA inverter
B. Nyaya
C.mahitaji mengine
Nitafurahi kama...
Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili.
https://www.the-star.co.ke/news/2022-07-29-ethiopian-electric-power-to-become-second-largest-supplier-to-kenya-power/
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo...
Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara.
Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja...
Wanadamu wengi tumerithi kwa walezi wetu fikra isemayo kwamba ukiwa na pesa unaweza kununua chochote ukipendacho kwa sababu tulishuhudia kumuona tajiri wa mtaa akisumbua atakavyo wakati tulipokuwa wadogo ila wengi hatukufundishwa kutambua kuwa ndoa ni ya mtu bali msiba ni wa watu.
Ndoa ni...
Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...
Je...
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.
Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange Regulations Issued
Set foreign exchange limits for travelers
Restrictions for residents to maintain bank...
Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli.
Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.