Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.
Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli (TRL) wanaupinga mpango wa serikali wa kununua mitambo chakavu ya mwekezaji kutoka India ambayo ilikodishwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza tatizo la usafiri.
Kampuni ya Reli ya India (Rites), ambayo ni mwekezaji mwenye asilimia 51 za hisa za TRL, iliagiza...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN.
Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.
Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...
Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi.
Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha.
Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile.
sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha.
Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/=
Kati ya Sqm 450 na 600sqm
Kisiwe mbali na Lami.
Iwe imepimwa safi kabisa.
Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi.
Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la...
Moja kwa Moja.
Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000
3.Nissan march cc 1300
4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000
5. Toyota starlet cc 1300
6...
Wakuu habari za jioni!
Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.
M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.