kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

    Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
  2. NetMaster

    Poteza simu/ Laptop unaweza kununua nyingine lakini mafaili binafsi yakipotea imeisha hio! Tupeane mbinu za kutunza copy za mafaili tukwepe majanga

    Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k. Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
  3. M

    Uwezo wangu wa kununua mzigo na kupeleka sokoni unapungua

    Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14. Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
  4. GENTAMYCINE

    Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
  5. 90sgeneration

    SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

    Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu. Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure. Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
  6. KING MIDAS

    Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

    Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie. 1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana...
  7. Mcanada

    Naomba kufahamu maeneo ya Dar es Salaam ambayo ni tambarare na hayana watu wengi, nataka kununua eneo na kujenga apartments

    Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments. Nitashukuru kwa michango yenu. Note...
  8. Alfatonics

    Unaangalia vigezo gani kununua Laptop? Chagua Laptop inayoendana na matumizi yako

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua laptop ya kununua Processor, Storage,RAM, Display, Graphics n.k 1.Processor Hapa ndo kwenye performance nzima ya kompyuta yako Ni namna kompyuta inavyochakata taarifa au kila kitu unachofanya kwenye kompyuta yako kinapitia hapa kufanyiwa kazi...
  9. L

    Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  10. U

    Nahitaji Desktop ya kununua

    Habari za jioni, Nahitaji Desktop Ya kununua , Nipo Dar Es Salaam. Offer Yangu ,Tsh Laki 1
  11. U

    Nahitaji desktop ya kununua

    HABARI ZA MCHANA, MWENYE DESKTOP ANAUZA NZURI INAFANYA KAZI, NIPO DAR ES SALAAM. OFFER YANGU TSH LAKI 1.
  12. M

    US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya A

    Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia. ===== US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya Airways. Chris Kiptoo, the Treasury Principal...
  13. B

    CCM inapo tapa tapa kusaka uungwaji mkono

    Ni kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru. Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao. Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo. Mengine haya ni yale yale...
  14. Kaka yake shetani

    Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  15. Makonde plateu

    Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Ama hakika pesa ni sabuni ya roho ukiwa na pesa unaweza kuhamisha mlima kilimanjaro kutoka kilimanjaro na kuupeleka mtwara sio kitu kabisa kabisa Nimefanikiwa kununua gari ya ndoto yangu Ford ranger kutoka moja kwa moja state nimeagiza moja kwa moja na pia nimefanikiwa kununua simu kali ya...
  16. T

    Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  17. NetMaster

    2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  18. JituMirabaMinne

    Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  19. OLS

    Wakulima hutumia 24% ya kipato chao kununua GB 5 za data

    Hali ni mbaya kwa ununuzi wa data kwa wakulima. Kwa takwimu za NBS za 2020 wakulima wanapata kwa wastani Tsh. 169,377 kwa mwezi. Wastani wa fedha wanazopata wanawake ni ndogo zaidi kuliko wanaume ambapo wanawake huingiza kwa wastani Tsh. 124,479 na wastani wa wanaume ni Tsh. 195,617. Kwa...
  20. Munguwetu

    Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
Back
Top Bottom