kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Hongera South Sudan kwa kununua kipande cha ardhi Djibouti

    South Sudan has bought a piece of land in Djibouti for the construction of a harbour in its latest effort to find an alternative to the port of Mombasa which is facing an onslaught from Dar-es-Salaam. South Sudan has bought three acres of land at the port of Djibouti for the construction of a...
  2. L

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  3. KING MIDAS

    Bujibuji usijaribu kununua vita isiyokuhusu, utapata shida sana kushinda.

    Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu. Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui. Umaskini ni laana, laana hii...
  4. Burnaboy

    Msaada ninunue sm gani kama upgrade ya Oppo A93?

    Solved
  5. Rurakha

    Nahitaji POS ya NMB kukodi au kununua

    Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana taratibu za kisheria za makabidhiano zitazingatiwa nakaribisha pm
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  7. M

    SoC02 Mvuta sigara anavyotumia wastani wa kiasi cha Tsh milioni 16.9 hadi Tsh 42.3 kununua sigara karibu kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm Club Tsh...
  8. De Professor

    Nahitaji kununua Kanga na Bata Mzinga kwa bei ya Shamba

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

    Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa. Kuna jambo hapa nimehisi.
  10. Sozo_

    Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  11. monotheist

    Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

    Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
  12. sky soldier

    Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

    Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina. Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
  13. badison

    Viongozi wenye tamaa wanavuna na kuiba Pesa nyingi ili waweze kununua Urais 2025

    Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025. Takukuru, jeshi la polisi, na...
  14. ryan riz

    Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  15. N

    Serikali kuendelea kununua magari ya kifahari 'V8' huku ikitegemea kukusanya tozo ni kukosa uwajibikaji

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi. Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na...
  16. sky soldier

    MB 1 iliuzwa senti 65, sasa tunakamuliwa shilingi 1 na senti 77, elfu 2 ilitupa GB 3 lakini sasa ni gb 1. Kenya na Zambia wametupindua

    Ndani ya muda mfupi kabisa gharama za internet zimepanda mara 2.7 yani tatu kasoro. Ni mwaka jana tu hapo kabla ya mabadiliko machunu ya vifurushi tulikuwa tunaweza kununua mb moja kwa senti 65 (shilingi 0.65) lakini sasa ni takribani shilingi 1.8. Hii elfu 2 tunayotumia kwa sasa kununua gb 1...
  17. Mkemia Fred James

    Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  18. Sky Eclat

    Mwana mama amejifungua baada ya kununua mbegu za kiume kutoka kwenye Internet

    Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm. Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya...
  19. sinza pazuri

    Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

    Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla. Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa...
  20. Chief Kumbyambya

    Naombeni ushauri, nataka kununua friji

    Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa. Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika...
Back
Top Bottom