kunywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kunywa maji baada au kabla ya kula?

    Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!! Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI? KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula? Elezea na sababu za kisayansi kabisa
  2. Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

    Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho. Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi? Ndani ya...
  3. KWELI Sio kila maji ya mvua ni salama, baadhi hayafai kwa kunywa

    Salaam wakuu, Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao. Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
  4. Napenda ngono ila nimegundua haina faida kwenye michongo ya kupata pesa afadhari kunywa pombe

    Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya kupata pesa. Naendelea kutafakari angalau nibaki na mademu wanne tu. 💯💯💯
  5. Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  6. Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  7. Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  8. Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  9. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa

    Habari za asubuhi Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake) Naomba kuwasilisha
  10. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
  11. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…