kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  2. Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

  3. B

    Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person. Ukristo wangu ni ukristo wenye...
  4. Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

    Habari Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao. Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba). Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
  5. Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
  6. Natafuta mke wa kuoa

    Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
  7. Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  8. Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  9. Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi. Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile. Hivyo basi...
  10. F

    Katika vijana waliopatia kuoa Bilnas yumo, ndoa yake na Nandy ni mfano wa kuigwa na vijana wa kisasa. Ina win win nyingi sana

    Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy...
  11. Nikitaka kuoa nitatembea nae kwanza kisha ntampima kwa maadili, heshima na ubunifu

    Habari zenu wadau! Ikitokea naondoka kwenye chama cha mabaharia na wala bata Tanzania na kusaliti kwa kufanya ufala wa kuoa basi potelea mbali kwanza nitatembea nae vya kutosha, pia ntamfanyia interview na uchunguzi wa maeneo matatu ya msingi nayo ni. 1. Maadili 2. Heshima 3. Ubunifu Mengine...
  12. M

    Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

    Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam. Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara...
  13. Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  14. Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  15. M

    Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
  16. Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

    Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano. Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo...
  17. M

    Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  18. J

    Nahitaji mwanamke wa kuoa Ana VIH +

    Hello! Mungu awababariki Niko mwanaume with 42age With VIH + and mtoto mmoja NATAKA MWANAMKE wa kuoa Same life. Mwanamke akubari ku inshi Tanzania au Rwanda Kwa SABABU Mimi nainshi Rwanda. Niko na level bachelor degree But napenda BIASHARA Sana That is the why I know Arusha ,Kilimanjaro...
  19. B

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa, awe muislamu na umri kuanzia 19 Hadi 24. Aliye serious anitafute: 0678625773
  20. F

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima. Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma namba au ujumbe kwa email flavianflorian0@gmai.com.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…