KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.
Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.
Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so...
Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake
2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana
3.jina la mtoto wake...
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni...
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye
umri wangu miaka29
Dini ni mkristo
Kazi nimejiajiri
sifa za msichaa nimtakaye
umri kuanzia 19-26
dini lolote, awe na hofu ya mungu tu
Nitashukuru kama atapatikana,
karibu pm kwa maongezi zaidi,
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Pia soma: Kwani lazima kuoana?
Cheki WhatsApp Status yake. Iliniuma sanaa mimi kama kijana wa Klop.
Huyu ni mwana tena mwana hasa.
Mwaka 2018 alikuja na taarifa kuwa anataka kuoa.
Nilimkataza kabisaa na kumwambia umri wako (30 Yrs) sio umri wa kuoa. Tuendelee kula maisha ki single boy "Tutaoa mbelee sanaa huko" ila pia...
Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa.
Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery?
Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma.
Jamaa kaenda round about kwa baati...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
arusha
dar
dodoma
flash
kinyume
kinyume na maumbile
kuoa
kuwa makini
maumbile
mke
mke wa mtu
mpenzi
mtandao
mtu
nyuma
redio
singida
tanga
usaliti
wadada
wanawake
zanzibar
Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na...
Habari zenu wadau,
Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu.
Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.