Habari wakuu,
Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.
Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji.
Kupitia huu uzi, anatakiwa...