Hello wana JF,
Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu.
Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.