kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Habari za majukumu wakuuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam? Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza...
  2. Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia. Tanzania (mwaka 2022) Wanawake 31,687,990 Wanaume 30,053,130 Duniani (mwaka 2021) Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%) Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni...
  3. Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

    Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu. Wengine jipangeni Wenyewe.
  4. C

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona. "Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tuliokopa yote kununulia plot ya...
  5. Kila nikiwaza Kuhusu Dumu na fagio nakosa mzuka wa kuoa!

    To be honest Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu. NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu Dumu fagio ni hatari kwa kijana Mwenye uelewa sio tu anazalisha Bali anawaza future ya mtoto wake. Madarasa ya Dumu fagio...
  6. Kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba

    Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu. Kuna hawa jamaa ambao wameshaoa, anakuwa na kamchepuko kwa tamaa zake, anakazalisha. Wakati uwezekano wa kumuoa...
  7. Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  8. Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Ukiwa kama mtoto wa kiume unayetegemea kuoa je, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?
  9. Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

    Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri. Waliooa ni wale wanaoishi na warembo wakali, wenye shepu nzuri na sura nzuri, hawa ndio waliofanikiwa kuoa. Sisi wengine...
  10. J

    Natafuta mke wa kuoa

    ...
  11. Dini hizi. Kwa hiyo King Charles atakuwa mkuu wa Anglikana na hali alitalikiana na kuoa tena?

    Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
  12. Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
  13. Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  14. L

    Kipi ni kigezo sahihi pindi unapochagua mtu wa kuoa?

    Habarini naomba kuuliza, ukiachana na kumpenda mpenzi wako je, ni kigezo gani kingine unaangalia mpaka unafikia kusema huyu anafaa kuwa mke? Na je, mdada anaesali sana ni moja ya kigezo? Je, mtu akiwa na hofu ya Mungu inatosha kuwa kigezo? Au kuna mengine tofauti na hayo?
  15. Tunaoa au kuolewa kwa sababu zisizo sahihi

    Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema. Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na sababu yake ingawa ukiziangalia zote zinatoa jibu moja kua huenda tulioa bila kuzingatia sababu za...
  16. A

    SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  17. Uzi maalumu kwa wasiotaka kuoa wala kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
  18. Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

    Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza japo kwa kutumia akili pana sana! Alikaa kwenye moja ya meza mle bar akiwa katika mavazi na mikao ya...
  19. Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

    Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri...
  20. Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

    Habari, Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa, nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk. Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…