Umri wangu ni miaka 34 kwa sasa, Nina kazi as mwalimu, nafanya biashara na kilimo sana, nina nyumba zangu nilizojenga na nyingine za urithi, Nina mtoto mmoja namhudumia, mzazi mwenzangu nilishamtolea mahali yote kifupi kwa maisha ya kitanzania kwangu si Haba sana.
Changamoto niliyonayo kubwa...