Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake
Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...