Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu.
Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo.
Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9.
Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini.
===
Iraq plans to lower the...
Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri.
Ila moyoni wengi...
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza nipate elimu
Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa?
Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.
Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani ya kiimani, furaha na huzuni....
kwa mwenendo na tabia yako ndani na nje ya familia, na zaidi sana...
DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi...
(Story ya Asamoah Gyan)
Intro 👇👇
✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka kwenye mzani akajua wewe ten Years utakuwa wapi kimaisha, kama ukiwa in a stable movement...
Alimtafutia kazi huyu binti wa dada yake. Baada ya miezi mitano tokea kuanza kazi, binti akapata mwamba, akaanza tabia ya kutoroka saa 10 jioni kumpelekea Mwamba Utelezi. Boss ndipo kushtuka, akaamua kumfukuza kazi. Binti ndipo kukimbilia kwa mshkaji ili waishi kama Baba na Mama
Taarifa ndipo...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa.
Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi .
Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending.
Acha kulalamika.
Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza
Rekebisheni mdomo , value man...
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka.
Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wanaume single broken ni 35+
Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.
Manake kashaumizwa sana hadi...
Ukiangalia mitume wale 12,
Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.
Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.
Siku ndoa ni kikwazo...
Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini.
Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa.
Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k.
Watu wengi wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.