Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi.
Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya.
Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.
2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.
3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa...
HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME
Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.
Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.
Binti: lakini mama huyu ni muelewa.
Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.
Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??
Binti ni pisi kali mno...
Habari ndugu wanajf?
Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.
Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII.
Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia.
Ndio maana sisi Watanzania mtu akioa tunasema "Jamaa kavuta JIKO" eeh.
Hiyo kauli ina maana kubwa sana...
UKISHAOA AU KUOLEWA UKWENI PANAKUWA KWENU,
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kwenu(ulipozaliwa) sio kwako. Weka Akilini. Kwako patageuka "kwenu" ya watoto wako.
Ukiwa kijana ambaye hujaoa na unaishi kwenye na unaakili unatambua kabisa hapo unapoishi kwa wazazi wako sio Kwako bali ni kwenu na...
Habari wadau.
Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata.
Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea.
Yale mambo ya kuoa mwanamke...
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa.
Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali.
Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka.
Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.
Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.
Ndoa ina raha na ndoa ni tamu mnoooooo hasa ukioa au kuolewa na mtu!.
Ndoa itakuwa chungu na yenye karaha hasa ukiolewa au kuoa...
Habari wana JF!
Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote??
Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa.
Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu asiolewe?/
Na akitangulia kuna tatizo???
Nasoma comment
Habari za j2 wana JF.
Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi?
Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu...
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.
Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
1• Mwanamke elewa kwamba huwezi kumlazimisha mwanamme akupende hata umfanyie Nini ie, umpe hela etc, jua tu ataishia kukutumia tu then atakuacha.
2•. Mwanaume anayeonyesha kukupenda zaidi kuliko ww (ke) vile unavyompenda mheshim usimdharau Wala kumuudhi cheza nae kwa akili ili siku ukikwama...
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa...
Huu uzi ni wa Q&A
1. Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?
( Kitu au vitu gani vya pekee vipo ndani ya ndoa tu ? )
Note: Huu uzi utatoa picha halisi ya kwa nini watu wana oa na kuoana je, ni kwa sababu maalumu au mkumbo, kasumba, mila na desturi au mfumo wa maisha binafsi ama wa jamii?!.
Nimerudi tena kuzungumzia Suala la ndoa hususan pale mtu anapokiri kuwa "nmekubali kuolewa" anamaanisha nini?
Inawezekana kuna kundi kubwa la wanawake sasa hivi wanatoa machozi majumbani na kujilaumu wenyewe kutokana tu na kutoelewa tafsiri ya hayo maneno machache, Leo tutaenda kuangalia hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.