Sheria kuhusiana na mikutano inavitaka vyama vya siasa kutoa taarifa polisi, siyo kuomba ruhusa.
Kuwaendekeza hawa ndugu tutajikuta mwana si wetu.
Kuheshimu sheria hakuwezi kuwa jambo la upande mmoja.
Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia
Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi.
Leo wizara...
Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa naweza kunyoosha mashati na makoti lakini linapokuja suala la kunyoosha suruali za vitambaa na kadeti ilinitesa sana kwakweli, nilikuwa naotea otea tu mpaka kuna muda narudia mara tatu kunyoosha suruali moja.
Yaani kulinganisha tu upanga wa suruali ilikuwa mtihani...
Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura .
Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii.
Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu
Taarifa ya Bodi ya Maudhui imesema hatua hizo zimechukuliwa kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la majukwaa...
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp.
Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake.
Hawasikii Wala hawana uchungu dhidi ya mamilioni ya watanzania wanao ogelea katika dibwi la umasikini huku wao...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva.
Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo:
👉🏼 Udereva wa kuendesha magari kuanzia...
Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu.
Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa na university, ama unaweza omba tu mkopo hata kama hujapata chuo.
Maana yake naona kama muda ni...
Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika.
Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.
Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama...
Habarini na poleni kwa majukumu,
Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende stationary?
Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile:
(1) Kusahaulika kwa...
Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,
Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.
Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!
Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?
Kumbe...
Fadhili Mpunji
Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.