Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi.
Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu...
Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni.
Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi.
Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa.
Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi.
Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake.
Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi.
Aomba msamaha...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu Vicoba ambayo ni yakuwadhihaki wanawake.
Katiba hotuba...
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa
1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.
2...
Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Jamani, siku za leo kuna watu wengi sana wanaamini manabii pengine kuliko hata wanavyojiamini wao wenyewe.
Baadhi hawafanyi maamuzi hadi waombe ushauri kwa hao wanaowaamini.
Kwa upande wangu maswali ni mengi. Kwamba watu hao wamechoka kuomba wao wenyewe kwa imani zao, au imani yao ni ndogo?
Habari!
Kila mwajiriwa anamjua mwajiri wake, hata walimu bila mashaka wanamfahamu mwajiri wao. Nadhani wengi wako chini ya wakurugenzi wa halmashauri wanazofanyia kazi.
Sheria za kazi ziko wazi kabisa, kuwa masaa ya kazi ni 8 , na mtu akifanya ziada alipwe ziada.
Je, walimu wa zamu ambao huwa...
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.
Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ...
Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
Bright and Genius Editors
P.O. Box 3456,
Dar es Salaam
Phone: 0687746471
Email: bandg.editors@gmail.com
09 February 2025
Commissioner General,
Tanzania Revenue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.