Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema.
Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa?
Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
Waliotangulia si wadhambi kutuzidi siye no, ni foleni tu inazidi kusogea. Zamu ya nani kati yangu mi na wewe hatujui?
Kumbuka ukishazikwa na mambo yako yote hayana thamani tena mbele ya walimwengu waliohai, jina lako lapoteza Nuru duniani.
Dunia ijapotikiswa ni nyakati za kuomba.Ee Mola...
Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli.
Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
Habari wadau,
Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa.
Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.
Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19.
Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na niliyesoma Katiba yetu na kuielewa nawaunga mkono kwa asilimia 100.
Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania 100%, chini ya shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), kwasasa kinamilikiwa na kampuni ya...
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Huyu binti ni shemeji yangu.
Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri.
Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
Habari wakuu,hamjambo?
Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa.
Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?.
By zakariamaseke@gmail.com
Advocate Candidate - LST.
Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!
Nikamwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.