Hela ya Urusi, yaani Ruble imedondokea pua, imeshuka kwa mwendo kasi na hii inakwenda kuilemaza Urusi kiuchumi, hii imemfanya Putin apapatike na kuomba vikao.
==========
Putin to discuss capital controls to help prop up rouble, report says
Proposals said to include forcing large exporters to...
Nashauri wadau badala ya kusubiri serikali kurekebisha mkataba nendeni moja kwa moja UAE na mapendekezo ya marekebisho.
Na nina rudia UAE sio Dubai pekee maana tuna uhusiano na UAE kama nchi na sio Dubai. Lakini twende na mapendekezo kabisa ya marekebisho ya mkataba naamini kabisa wataaikiliza...
WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.
Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka.
Kuna wanawake...
Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
jamani nimepotea njia. Najaribu kuomba vyuo vya afya NACTE. Sioni vyuo vya afya vya serikali, say Lugalo, Kibaha etc. Kuna nini? Utaratibu kwa sasa ukoje?
Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake.
Mtoto huyo ameondoka katika...
Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha.
Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea.
Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani.
Sasa mwaka huu wakati dirisha...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
Salaam!
Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa.
Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada.
Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni.
1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
Habari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO.....
Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.