1. Wakati unasumbuka na tatizo la ndoa, kumbe robo tatu ya watoa ushauri hawajawahi kuishi na ndoa zaidi ya kudanda danda tu hapa na pale.Kwa kifupi hawajawahi saini mkataba mbele ya mashahidi na viongozi wa dini kwamba changamoto na furaha atazikabili. Mikataba alosaini ya kisela tu. Robo tatu...
Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .
Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri.
Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote.
Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa...
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU
Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa...
Afisa Tabibu kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba aliyetambulika kwa majina ya Msafiri Omary Kalomo, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iramba, kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 kutoka kwa Neema Msengi Kilimba ili amsaidie kufanya upasuaji wa uvimbe katika Tumbo la...
Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti fulani ambae alikuwa nami bega kwa bega.
Kuna muda tulitengana lakini alikuwa ana tabia ya kunitafuta na kunisalimia, hata kama utapita mwezi au miezi miwili lakini lazima tu atanitafuta na kunisalimia na mimi namjibu vizuri kabisa.
Ingawa alikuwa...
Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona.
Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania.
Mume kamaliza Kazi leo tarehe 19 Desemba, 2023 hivyo ni matumaini yetu kuwa na Mke nae Kesho tarehe 20. Desemba...
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook
Habari za usiku huu,
Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato!
Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
They did rejoice on 7th October right?
Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake.
Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
Ilinichukua muda sana kugundua yafuatayo katika maombi:
1. Yesu ametupatia mamlaka kufunga chochote hapa duniani, au kufungua chochote hapa duniani, na kitafungwa au kufunguliwa na mbinguni. maana yake ni kwamba kitatimia hivyo hivyo kama ulivyotamka. Unaweza kuamuru chochote ambacho maadui...
Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi.
Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu.
2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri."
3 - "Basi...
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa...
Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni.
Unamuuzia mtu sime au upanga kisha unamfuata na akurudhishie maana una shida nawo...
Russia is trying to get back some of the...
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.