Unaweza
1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU.
2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia.
3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane.
4: Kuomba umeketi kama daudi.
5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
Kutamani ni hisia ambayo tumeumbwa nayo na haipo kimakosa miilini mwetu.
Binadamu aliyekamilika lazima atazalisha hisia yoyote ile kutokana na anachokutana nacho kama njia moja wapo ya mawasiliano na mwili wake. Na hakuna hisia yoyote kwenye mwili isiyo na maana kwako.
Kwanini hisia ya...
Ukristo no taasisi ya imani sio ya kisayansi. Mambo ya kisayansi yanahitaji ushahidi wa kugusika.
Ila mambo ya imani yanahitaji uamini kauli za Mungu bila kujali uhalisia.
Sasa hii kauli ya Maandiko ukiishika na kuiamini itakupa ujasiri wa kuoata chochote popote wakati wowote.
Itakupa nguvu ya...
Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.
Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi.
Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!!
Je familia zao wanazihudumia vipi?
Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Habari ya jioni wakuu.
Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao.
Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee.
Kama unaweza kutukwamua...
Kwa mujibu wa Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC), maafisa waliokamatwa akiwemo Inspekta wa Polisi walikuwa wakiomba Rushwa kutoka kwa Madereva katika Barabara Kuu ya Thinka - Garissa.
Kukamatwa kwao kunafuatia Malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa Madereva kupitia (EACC) na kueleza...
Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno.
Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali.
Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa.
Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba.
Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
Kila ninaposikia kuhusu suala la kutangazwa kwa ajira za TAMISEMI hususani katika kada yangu ya ualimu napata furaha, lakini mchakato unapoanza hadi kukamilika na matokeo yanapotolewa najikuta mtu mwenye huzuni kubwa sana kwa kukosa hiyo nafasi nimeomba ajira zaidi ya mara 4 tena kwa shauku...
Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329.
Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
Mhe. Rais ameelekeza korosho yote ya Mtwara isafirishwe kwa njia ya meli kupitia bandari ya Mtwara; vinginevyo ukitaka kusafirisha kwa barabara lazima uombe kibali kwa mkuu wa mkoa na polisi ikieleza kwanini uruhusiwe kutumia barabara.
Kwanini amri hii imetolewa ? Kuna faida gani kutumia...
Jameni Putin anaachiwa liinchi, matajiri wanahama, wanariadha wanaukana uraia na kukimbilia kwingine, vijana wameitoroka nchi, maskini ndio wanaachwa kuendelea kupambana na hali...ila kila anayepata upenyo anajiondokea.
PHOTO: RIA NOVOSTI
Russia’s Ministry of Sport says that over 100 Russian...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.
Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.