kuomba

  1. B

    Kulikoni vyama vya Siasa kuomba ruhusa Polisi?

    Sheria kuhusiana na mikutano inavitaka vyama vya siasa kutoa taarifa polisi, siyo kuomba ruhusa. Kuwaendekeza hawa ndugu tutajikuta mwana si wetu. Kuheshimu sheria hakuwezi kuwa jambo la upande mmoja.
  2. X

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi. Leo wizara...
  3. Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  4. Ni kitu gani ulikifanya kwa kutumia nguvu nyingi, muda mrefu au kuomba msaada usaidiwe kabla hujagundua mbinu rahisi ya kukifanya kwa wepesi

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa naweza kunyoosha mashati na makoti lakini linapokuja suala la kunyoosha suruali za vitambaa na kadeti ilinitesa sana kwakweli, nilikuwa naotea otea tu mpaka kuna muda narudia mara tatu kunyoosha suruali moja. Yaani kulinganisha tu upanga wa suruali ilikuwa mtihani...
  5. Kuna hawa wakuja pm kuomba kupigiwa kura hii si rushwa tu kma rushwa nyingine

    Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura . Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu...
  6. J

    SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  7. Misri: Netflix, Disney+ zatakiwa kuomba leseni za streaming

    Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu Taarifa ya Bodi ya Maudhui imesema hatua hizo zimechukuliwa kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la majukwaa...
  8. Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

    Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
  9. Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  10. Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  11. F

    Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?

    Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake. Hawasikii Wala hawana uchungu dhidi ya mamilioni ya watanzania wanao ogelea katika dibwi la umasikini huku wao...
  12. Kuomba kazi

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva. Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo: 👉🏼 Udereva wa kuendesha magari kuanzia...
  13. Je, kipi cha kuanza nacho kati ya kuomba mkopo na kuomba chuo?

    Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu. Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa na university, ama unaweza omba tu mkopo hata kama hujapata chuo. Maana yake naona kama muda ni...
  14. Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  15. I

    Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake. Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama...
  16. Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Habari wakuu... Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
  17. O

    Kuomba mkopo

    Habarini na poleni kwa majukumu, Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende stationary?
  18. Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  19. NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu, Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui. Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu! Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe? Kumbe...
  20. L

    Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…