kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    kwanza salaam! MBALI NA KATIBA KAMA IMANI NI MAENDELEO KWANINI TUSIFUNGE NA KUOMBA TUYAPATE? Natambua kuwa ipo nadharia ya dunia ni duara,unavyopanda mchicha hutaotesha mbuyu abadani kwa nadharia hii inanikumbusha karne moja iliyopita wengi wa mababu zetu walikuwa ni weupe walidanganywa na...
  2. Championship

    Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

    Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara. Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
  3. Blender

    Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  4. jingalao

    Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki. NHIF amehusika kukuza hospitali...
  5. Mzee Saliboko

    Ulishawahi kuona kitu kizuri kinauzwa.., ikawaje?

    Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia. Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu mwenyewe kuja kwangu mpaka abembelezwe.
  6. chiembe

    Uhaba wa sukari: Taasisi ipi ilipaswa kuona mapema (early warning systems) lakini haikuona?

    Kama nchi, kuna mahali mfumo ulishindwa kufanya kazi sawasawa. Either Bodi ya Sukari, au Taasisi ya Takwimu au Vitengo ndani ya wizara. Nani hakufanya nini ambacho alitakiwa kufanya? Na katika sekta nyingine mbali na sukari, mifumo yetu ina njia za kutoa tahadhari kwa viongozi? Iwe ndani ya...
  7. JamiiCheck

    Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  8. I

    Kwanini Putin angependa kuona Rais Biden (badala ya Trump) akirejea tena madarakani nchini Marekani

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema angependelea urais wa Joe Biden badala ya Donald Trump kabla ya uchaguzi wa Marekani mwezi huu wa Novemba. Bwana Biden alikuwa mtu mwenye uzoefu zaidi, anayeweza kutabirika, alisema kwa maneno ambayo hakika yatainua nyusi. Kabla ya Bw Trump kugombea urais...
  9. Pascal Mayalla

    Exposure ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunaona mazuri ya wenzetu, lakini hatujifunzi na hatubadiliki? Tumeridhika?

    Wanabodi Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao? Hoja hii ni...
  10. Webabu

    Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

    Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel. Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana...
  11. Mjanja M1

    Kuona Engagement ya Manara DStv ni Tsh 10,000

    Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10. Kwenye mahojiano mafupi ya wawili...
  12. K

    Nimesikitika sana kuona yanayotokea pale Udart

    Nimesikitika tena nimesikitika sana nilipoona clip ikionyesha jinsi mabus ya UDART yalivyoachwa hovyo yakizama kwenye matope kwenye karakana ya UDART kisa uharibifu wa gearbox. Mhe. Waziri Mkuu anagomba kwa uchungu lakini wapi. UDART unaongozwa na PhD holder aliyetoka TRA na anayejua jinsi ya...
  13. BARD AI

    Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
  14. sky soldier

    Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  15. Chizi Maarifa

    Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti. Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa... Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti...
  16. Erythrocyte

    Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  17. Kamanda Asiyechoka

    2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  18. Zanzibar-ASP

    Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  19. R

    Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  20. AlphaMale_

    Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
Back
Top Bottom