kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
  3. Nelibaba

    Tusiogope au kuona aibu kutumia Kiswahili.

    Hivi kwanini viongozi wetu wa kitaifa wanakionea aibu Kiswahili? Tumeshuhudia viongozi wetu wakienda uko nje na wakati mwingine tukipata wageni kutoka nje kuja Tanzania, viongozi wetu wanakisaliti Kiswahili na kutukuza lugha ya mkoloni! Hii sio sawa na inatuuma sana sisi wazalendo wa Kiswahili...
  4. Artifact Collector

    Alichofanya Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 matunda yake ndo tumeanza kuyaona jana terehe 10/6/2023

    Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na matamanio ya magufuli lengo ni kuhakikisha jambo lolote lile atakalopeleka bungen hakuna atakayepinga ila...
  5. Expensive life

    Mashabiki wa Yanga baada ya kuona Saidooo anamzidi Mayele kwa assist sasa wamehamia kwenye Penati

    Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani? Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha manyonyo apite hivi.
  6. Magufuli 05

    Simba acheni wivu kuona Yanga inapongezwa kila kona na kualikwa Ikulu

    Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa. Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
  7. BARD AI

    Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  8. Raia Fulani

    Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
  9. M

    Watanzania wenye akili wanataka kuona nchi inakimbia kimaendeleo na si Ikulu Mpya kusifiwa na Wanafiki na Mafisadi

    Narudia... Watanzania wenye Akili wanataka kuona nchi inakimbia Kimaendeleo na si Ikulu Mpya ikisifiwa na Wanafiki na Mafisadi. Kwa mfano Ikulu ya Rwanda ni ya kawaida mno kuliko hata zote Afrika ikikaliwa na Rais Intelligent (brainy) Paul Kagame na nchi yao inakaribia hata kuziacha nchi...
  10. KING MIDAS

    Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

    Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani. Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
  11. John Gregory

    Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  12. U

    Nimefurahi Kuona Vyombo(mitungi) , Tafrija ya Ikulu, nzuri sana

    Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi. Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo...
  13. Infinite_Kiumeni

    Jifunze kuona makosa kama masomo na sio majuto na kujichukia, utakua na amani zaidi

    Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni mifano tu ya majuto. Ukiona unatumia “nge” sana ujue upo kwenye majuto. Ni kweli umri unaenda lakini...
  14. TODAYS

    Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana. Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
  15. M

    Tucheze mchezo wa picha kwa kutumia movie ulizowahi kuona

    Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
  16. Robert S Gulenga

    Uongozi wa Rais Samia umetupa mwanya wa kuona wanaoweza kuona kesho na Viongozi wafupi

    Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo wake, kipawa chake, ubunifu wake, umahiri wake na hata busara za kuamua mambo kwa ajili ya maendeleo...
  17. S

    Wanaume wa Tarime, hii ni tabia ya kipumbavu na kidhaifu sana. Badilikeni

    Nilienda zangu klabu moja maarufu Tarime mjini pale, nikakutana na tabia ya ajabu sana kutoka kwa wanaume wa maeneo yale. Ishu ilikua hivi, baada ya kuwa nimepoa zangu muda mrefu naskiliza tu mdundo kidogo kidogo, akanifata mwana mmoja ivi, pigo za kisharobaro kibaao. Kisha akaanza kuniambia...
  18. NALIA NGWENA

    Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  19. R

    Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni. Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
  20. benzemah

    Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
Back
Top Bottom