Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo wake, kipawa chake, ubunifu wake, umahiri wake na hata busara za kuamua mambo kwa ajili ya maendeleo...