Na Ronald Mutie
Takwimu zilizotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kulinda Mazingira UNEP kwenye mkutano wa tano mkuu wa Mazingira UNEA-5, zinaonyesha kuwa takriban tani milioni 11 za taka za plastiki hutiririka katika bahari kila mwaka, na kutishia maisha ya viumbe vya baharini, usalama wa...