Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku.
Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k.
Kwanini isiwe kama majirani...
Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo.
Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.
Wanafiki...
Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni.
Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld.
Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari.
Mkataba hauwezi kuvunjwa...
Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji sijaona hata mmoja anayetufaa Simba SC na kwa huu mtindo wa 10% ulioko Simba SC, najua watasajiliwa...
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao.
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500
Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500
Zuchu bilioni 5.
Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ?
Is it fair?
Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja
Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje?
Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
Habari I Wakuu
Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho...
Kuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia mapambano na kwamba hii itasababisha Wagner kuzingirwa, huyu leo ameibuka na kusema Bakhmut yote wameichukua...
Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza.
Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE!
Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha.
Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya...
Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku.
Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.