Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi
Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia...
Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.
Salaam JF
Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia.
Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu...
Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake.
“Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali.
Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao.
Feisal alikuwa na mkataba na Yanga SC (ambao BIN KAZUMARI imeuona) uliosainiwa tarehe 10 Agosti 2020 ukichukua...
Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya Richuru uko Goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki, lakini mimi sioni kama hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na M23.
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa...
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).
Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka.
Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani...
Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU.
Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan.
Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi.
US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE
Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Habar ndiyo hiyo super power kakubali yaishe.
Kakosa yote.Chezea Himas wewe.
KATERYNA TYSHCHENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 22:54
Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, shared intelligence that Russian occupiers have already started fleeing Crimea and stated that this was the right...
Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani.
Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine?
Nimemchana sana na kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.