1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba.
2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza na mtoto, kaa kimya, mpe nafasi ya kujibu. Akishindwa kujibu msaidie kujibu kisha mtake arudie...