Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana.
Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha.
Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke.
Wengi sana...
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu.
Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu?
Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
Leo wataongea na vyombo vya Habari.
=================
Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi.
"Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo".
Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu.
Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
Naomba miaka ya baadae (mbeleni) huko nje ya kuwataka Wagombea wawe na Elimu Kubwa ila pia wawe Wanapimwa kama ni Werevu Kiuhalisia kwani kuna tofauti Kubwa mno kati ya kuwa Msomi (Intellectual) na kuwa Mwerevu (Intelligent) lakini bahati mbaya kwa Tanzania yetu Msomi anajumlishwa kuwa nae ni...
za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia,
kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu
namba yangu ni 0767066113
ila uzi huu ni valid hadi saa 11 asubuhi na ninaobwa moods wauset ujifute mda huo
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
TUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana.
---
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kutoridhishwa na nyongeza ya mshahara huku wakieleza tofauti kubwa ya nyongeza baina ya daraja la juu walioongezewa kwa asilimia 0.6 na wale wa daraja la chini...
Ewe mwanadamu uliyepata nafasi ya kusoma huu ujumbe.Jua ya kwamba mimi nakutakia mema.Hunijui sikujui ila nacho jua ya kwamba wote tuna Baba mmoja Adam na Mama Mmoja Hawa.Tunaishi kwenye Dunia hii Tukiwa na Lengo la kuishi MAISHA MAZURI NA BORA kwenye ulimwengu huu wa sasa na Maisha bora zaidi...
Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi...
Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo.
Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na...
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata...