Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo.
Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao wote waliosimama hapo.
Na spika eti amepokea, na kupongeza kwa niaba ya bunge!🤦♀️🤦♀️ Afu wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.