Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo.
Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao wote waliosimama hapo.
Na spika eti amepokea, na kupongeza kwa niaba ya bunge!🤦‍♀️🤦‍♀️ Afu wananchi si mnajua cha kufanya Oktoba?🌚
====
Mbunge viti maalum Alice Karungi Kaijage aomba dharula ya Kipongezi Bungeni kwa ajili ya kumpongeza Rais Samia kwa kuongeza mshahara kwa wafanyakazi.
Spika Tulia amepokea hoja hiyo na kutoa pongezi kwa niaba ya bunge, amesema kama Bunge wanampongeza kwani amefanya hatua kubwa ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.