kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Mbinu zipi zitumike kuongeza watumiaji wa mtandao wa Jamii forums Tanzania

    Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja. Hii ni hasara kwa jamii kwakuwa hatuzivuni faida nyingi za watu kuwa katika huu mtandao kuliko mitandao...
  2. Je, ni kwanini TRA isibinafsishwe ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?

    Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
  3. N

    Ushirikiano kati ya Tanzania na DP World: Kuongeza Ufanisi, Ajira, na Kuvutia Wafanyabiashara

    Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni: 1. Kupunguza muda wa ushushaji wa makontena kutoka siku 4.5 hadi siku 2: Kabla ya mageuzi hayo, mchakato wa ushushaji wa makontena...
  4. Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  5. Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  6. Jinsi ya kuongeza uwezo wako wakati katika tendo la ndoa

    Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya jinsi ya kuwasaidia wanaume kuongeza nguvu za kiume, zifuatazo ni hatua hizo tano zitakazo kusaidia...
  7. Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  8. Ni muda muafaka kuongeza Vivutio vya Utalii

    MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa 'The Royal Tour' ambao umesaidia kuongeza watalii na kuweka rekodi ya kupokea...
  9. Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

    Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt, Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
  10. Wakati Wa Tanzania Wakipinga Tozo ya Barabara za TARURA, Wafanyakazi wa Umma Kenya Kukatwa Asilimia 3% ya Mishahara Kujengea Nyumba za Watu Maskini

    Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini.. Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara anazitaka. Kama Mfanyakazi wa Umma anakatwa Asilimia 3% Kila Mwezi hiyo ni zaidi ya 10,000 Kila Mwezi...
  11. Baadhi ya mipango ya serikali inayo-trigger 'emergency alarm' na inayotakiwa kutupiwa jicho na jamii nzima

    Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
  12. Mtazamo: Rais samia endelea kuongeza mishahara kimyakimya

    KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika wakati wa Sikukuu Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), kwani wafanyabiashara walishajua kuwa hicho ndicho...
  13. 5

    China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

    Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa? Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
  14. J

    Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  15. J

    Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
  16. Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  17. R

    Badala wanasiasa wawaze kuongeza miundombinu ya Afya na elimu wanawaza kugawana majimbo; shame

    Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa. Alichofanya Gambo na Tulia nikuonyesha kile wanachofikia walafi WA madaraka kwenye majimbo yenye...
  18. Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
  19. SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  20. Tunaweza kuboresha Podium zetu Ikulu ili kuongeza taswira na muonekano wa unadhifu?

    Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa na michubuko na mabonde mabonde. Kwa utajiri wetu wa misitu na aina mbalimbali za miti tungeweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…