kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  2. anti-Glazer

    Njia 5 kuongeza kipato, nje ya utaratibu wa ajira yako ya kudumu

    Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea. 1. Blogger. Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata...
  3. S

    Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  4. BARD AI

    Nick Cannon yuko tayari kuongeza mtoto wa 13 lakini azae na Taylor Swift

    Cannon ambaye ana Watoto mapacha aliozaa na #MariaCarey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kama anahitaji mtoto mwingine lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana. Mtangazaji wa kipindi cha 'The Howard Stern' kinachorushwa na SiriusXM...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  6. Gulio Tanzania

    Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  7. T

    Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  8. JanguKamaJangu

    Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
  9. Nihilist

    Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wasalaam wana jamii forums, Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya.. -Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi...
  10. Aliko Musa

    Njia 10 za kuongeza thamani ya ardhi yako

    Utangulizi. Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei isiongezeke. Vilevile bei inaweza kuongezeka bila hata thamani ya ardhi kuongezeka. Thamani ya ardhi hupanda...
  11. K

    Kigezo alichotumia Rais Samia kuongeza posho za wanafunzi akitumie pia kuongeza posho zetu askari

    Raisi Samia Askari tunahitaji uongeze posho zetu kwa KIGEZO kilekile kwamba gharama za maisha zimepanda!! Kama ilivyo kwa watu wengine nasi maisha yamepanda Sana hivyo hakikisha unaongeza posho zetu ikiwezekana kabla ya mwezi July. Sisi kama unavyoelewa muda wote tunakutumikia wewe iwe mvua...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  13. B

    “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  14. chiembe

    Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  15. Masokotz

    Je, mfumo mpya wa TRA Efiling unaweza kuongeza wigo wa kodi?

    Habari za wakti huu, Kwanza nianze kwa kuwapongeza TRA Tanzania kwa mfumo wao mpya wa usimamizi wa masuala ya kodi. Ni hatua nzuri hasa kutoka kwenye mfumo wa ukusanyaji wa kodi wa "Manual" na kisha kuhamia katika ule mfumo wao wa online uliokuwa very user unfriendly mpaka kwenye huu mfumo wao...
  16. NetMaster

    Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  17. G

    Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  18. Pdidy

    Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

    Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
  19. Carlos The Jackal

    Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  20. chiembe

    Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
Back
Top Bottom