Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha sekta binafsi inayoiwezesha nchi kukuza uchumi na kupata maendelo.
Dk Mwigulu aliwaeleza washirika wa kongamano la kodi Dar es Salaam jana kuwa watanzania wanatakiwa kutafakari uhusiano uliopo...
Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920.
Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Mahakama ya Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemhukumu Shamsudini John maarufu SIKUKUU mwenye miaka 35 kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwauwa kwa kukusudia kwa kuwanyonga kwa kanga mkewe Asia John aliyekuwa na umri wa miaka 25 na mtoto wake Ahmed Shamsudini aliyekuwa na miaka Tisa (9) baada...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi.
Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara.
Ukweli upoje?
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
Wadau,
Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme.
Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi.
Ifike mahali...
Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani.
Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi.
=======...
Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Ghana, Mason alisema amekuwa akikutana na wadau wa muziki huo ili kuona uwezekano.
"Tuliita...
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo.
Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
Habari wadau!
Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript?
Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.